TIMIZA WAJIBU WAKO, KATA MNYORORO WA RUSHWA

MWENGE2

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan akiwasha Mwenge wa Uhuru wakati wa sherehe za Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru katika Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro tarehe 18.04.2016.

 

MWENGE 3

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Mwenge wa Uhuru kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2016, Bw. George Mbijima kwa ajili ya kuukimbiza mikoa na wilaya zote za Tanzania.

MWENGE 1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia wananchi wakati wa Sherehe za uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa zilizofanyika Mkoani Morogoro ,ambapo kauli Mbiu yake ni “TIMIZA WAJIBU WAKO, KATA MNYORORO WA RUSHWA.”

 

Prosecution

SAKATA LA ESCROW: VIGOGO WA BOT, TRA, TANESCO, REA NA ARDHI WAPANDISHWA KIZIMBANI 11 Sep 2015

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania – TAKUKURU, imewafikisha katika mahakama...

More detail
MAWAZIRI WAWILI WA ZAMANI WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA TISA 10 Sep 2015

  Mawaziri wawili wa zamani, Basil Mramba (Fedha) na Daniel Yona (Nishati na Madini), wamehukumiwa...

More detail
Mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya ya Songea anaswa kwa Rushwa 10 Sep 2015

Mnamo tarehe 03/03/2015 TAKUKURU ilipokea taarifa kutoka kwa raia wema kuwa Mwanasheria wa Halmashauri...

More detail