JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

MKURUGENZI MKUU APOKEA UGENI WA NDC

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brigedia Jenerali John Mbungo, amepokea ujumbe wa Viongozi na Wanamafunzo 67 kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa – National Defense College (NDC) cha Jijini Dar Es Salaam. Wageni hawa walitembelea TAKUKURU kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu katika masuala ya kuzuia na kupambana na Rushwa nchini. Ujumbe kutoka NDC uliongozwa na Mkuu wa chuo hicho Meja Jenerali Ibrahim Mhona.