JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

TAKUKURU Mkoa wa Dodoma leo inatarajia kuwafikisha mahakamani watu saba (7) ambao tunawashikilia kwa kujihusisha na vitendo vya kuomba na kupokea rushwa kinyume na kifungu cha 15(1)a na kuahidi na kutoa rushwa kinyume na kifungu cha 15(1)b vyote vya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya mwaka 2007. Soma zaidi.

Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma Bw.Sosthenes Kibwengo, akisoma ripoti ya robo mwaka ya Aprili-Juni 2019 na kutanabaisha kuwa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi 67,542,600 katika mradi wa maji wa kijiji cha Kelema kuu wilayani chemba baada ya kubaini fedha iliyotumika kutoendana na kazi halisi ya mradi
Fungua hapa kusoma taarifa

 

More Articles ...

Page 3 of 4