Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inapenda kuufahamisha umma kwamba tayari imeanza kutekeleza maagizo ya Mheshimiwa Rais aliyoyatoa Jumanne Oktoba 15, 2019 wakati wa Mkutano wa Hadhara na Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa Mjini, mkoani Lindi. Soma zaidi.