- Kubaini mianya ya rushwa katika mfumo wa uanzishaji, usimamizi na uendeshaji wa Maduka ya Dawa Muhimu,
- Kutathmini uzingatiaji wa Sheria na Kanuni za uanzishaji na uendeshaji wa Maduka ya Dawa Muhimu,
- Kushauri namna ya kuziba mianya ya rushwa na udhaifu mwingine uliyobainishwa katika mfumo wa uanzishaji, usimamizi na uendeshaji wa Maduka ya Dawa Muhimu.