SAMWEL SHADRACK PALLANGYO

Samwel Shadrack Pallangyo  
Jinsia ME
Kazi Anayofanya

FIELD OFFICER TAMBAZA AUCTION MART AND COURT BROCKER

Mkoa/Wilaya

MBULU, MANYARA

Uraia

MTANZANIA

Mwaka wa Kuzaliwa
Namba ya Kitambulisho  
Namba ya Jalada

PCCB/MYR/ENQ/33/2016

Namba ya Kesi

CC.134/2016

Maelezo ya Kosa

KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA.

Kifungu cha Sheria

K/F CHA 15 CHA PCCA No. 11/2007.

Jina la Mahakama

MAHAKAMA YA WILAYA – MBULU

Tarehe ya Hukumu

30/01/2017

Adhabu iliyotolewa ALIHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA JELA        

AHMADI IDDI MDEDE

 
Jinsia ME
Kazi Anayofanya

KIONGOZI WA KUNDI (FOREMEN) DERM ELECTRIC

Mkoa/Wilaya

MARA, TARIME

Uraia

MTANZANIA

Mwaka wa Kuzaliwa  1982
Namba ya Kitambulisho  
Namba ya Jalada

PCCB/MU/ENQ/02/2017

Namba ya Kesi

CC.12/2017

Maelezo ya Kosa

KUOMBA HONGO TSHS 300,000 NA KUPOKEA TSH 300,000/= KUTOKA KWA DANIEL CHACHA        MAGIGE  WAKATI WA ZOEZI LA UTEKELEZAJI MRADI WA REA KATA YA BOREGA “A” ILI AWEZE KUWAFUNGIA MITA KWENYE NYUMBA

                       ZA WATEJA WA REA AMBAO WALISHALIPIA GHARAMA TANESCO ZA KUUNGANISHIWA UMEME WA REA                          

Kifungu cha Sheria

K/F CHA 15 CHA PCCA No. 11/2007.

Jina la Mahakama

MAHAKAMA YA WILAYA - TARIME

Tarehe ya Hukumu

09.01.2017

Adhabu iliyotolewa

KULIPA FAINI YA TSH 500,000/= AU KIFUNGO CHA MIAKA MIAKA MITATU JELA.                                                        

PETER JOHN MOLLEL

PETER JOHN MOLLEL  
Jinsia ME
Kazi Anayofanya

MWEKA HAZINA

Mkoa/Wilaya

SIMANJIRO/MANYARA

Uraia

MTANZANIA

Mwaka wa Kuzaliwa

Namba ya Kitambulisho  
Namba ya Jalada

PCCB/MYR/ENQ/03/2011

Namba ya Kesi

CC.48/2016

Maelezo ya Kosa

KUTUMIA NYARAKA KUMDANGANYA MWAJIRI & MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA.

Kifungu cha Sheria

K/F CHA 22 & 31 VYA PCCA No. 11/2007.

Jina la Mahakama

MAHAKAMA YA WILAYA – SIMANJIRO

Tarehe ya Hukumu

21/12/2016

Adhabu iliyotolewa

ALIHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 5 KWA KILA KOSA JELA AU KULIPA FAINI YA Tshs. 1,500,000.00 KWA KILA KOSA NA KUFANYA JUMLA YA Tshs. 9,000,000.00

ESTER MERKIOR KINSABO

   
Jinsia ME
Kazi Anayofanya

MHASIBU MSAIDIZI

Mkoa/Wilaya

SIMANJIRO/MANYARA

Uraia

MTANZANIA

Mwaka wa Kuzaliwa  
Namba ya Kitambulisho  
Namba ya Jalada

PCCB/MYR/ENQ/03/2011

Namba ya Kesi

CC.48/2016

Maelezo ya Kosa

KUTUMIA NYARAKA KUMDANGANYA MWAJIRI & MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA.

Kifungu cha Sheria

K/F CHA 22 & 31 VYA PCCA No. 11/2007.

Jina la Mahakama

MAHAKAMA YA WILAYA – SIMANJIRO

Tarehe ya Hukumu

21/12/2016

Adhabu iliyotolewa

ALIHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 5 JELA KWA KILA KOSA AU KILIPA FAINI YA Tshs. 1,500,000.00 KWA KILA KOSE NA KUFANYA JUMLA YA TSHS. 9,000,000.00

DAWA ELIMU MAUMAU

DAWA ELIMU MAUMAU  
Jinsia ME
Kazi Anayofanya

KAIMU AFISA MTENDAJI WA KIJIJI CHA KYAMAJOLE

Mkoa/Wilaya

MARA, MUSOMA

Uraia

MTANZANIA

Mwaka wa Kuzaliwa

1990

Namba ya Kitambulisho  
Namba ya Jalada

PCCB/MU/ENQ/18/2015

Namba ya Kesi

CC.42/2015

Maelezo ya Kosa

KUOMBA HONGO TSHS. 10,000/= NA KUPOKEA  TSHS. 10,000/=  ILI AWEZE KUMUANDIKIA MTOA TAARIFA BARUA YA KUPELEKA MALALAMIKO YAKE KATIKA KITUO CHA POLISI BISUMWA BAADA YA MALALAMIKO HAYO KUSHINDWA KUTATULIWA NA OFISI HIYO YA MTENDAJI

Kifungu cha Sheria

K/F CHA 15 CHA PCCA No. 11/2007.

Jina la Mahakama

MAHAKAMA YA WILAYA - MUSOMA

Tarehe ya Hukumu

31.08.2016

Adhabu iliyotolewa

KULIPA FAINI YA TSH 500,000/= AU KIFUNGO CHA MIAKA MITATU JELA

. Visitor Counter

1735174
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
2664
5724
28443
32664
98676
97674
1735174

watembezi

Articles View Hits
1629445