Raia Mwema 07 Jun, 2022

Raia Mwema 07 Jun, 2022

Watuhumiwa kujidhamini mahakamani Gazeti la Raia Mwema Ukurasa wa 5 Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Wizara yake itafumua mfumo wa jinai, ili kuangalia namna ya kupunguza msongamano wa mahabusu magerezani kwa kujidhamini. Dkt. Ndumbaro alitoa kauli hiyo jana bungeni jijini Dodoma, akijibu maswali ya wabunge Elibarik Kingu (Singida Magharibi) na Felist Njau (Mbunge Viti Maalumu), waliohoji mkakati wa Serikali kutatua changamoto ya mrundikano wa mahabusu magerezani. Waziri alisema marekebisho ya mfumo huo yatafanyika katika mwaka wa…

Read More Read More

Rushwa Adui wa Haki

Rushwa Adui wa Haki

Kipindi cha TBC Taifa cha Rushwa Adui wa Haki siku ya Alhamisi tarehe 09 Jun, 2022, kuanzia saa 9:45 – 10:00 Alasiri. Mada: Mkakati wa taifa dhidi ya rushwa na Mpango wa Utekelezaji Awamu ya III

Tanzania Daima 05 Jun, 2022

Tanzania Daima 05 Jun, 2022

Walimu vinara rushwa ya ngono Gazeti la Tanzania Daima UKURASA WA 2 Idara ya Elimu, mkoani Mbeya imetajwa kuwa kinara wa kujihusisha na vitendo vya rusha ya ngono, kwa madai kuwa baadhi ya walimu hutumia rushwa ya ngono kwa waajiri wao ili wasipangiwe kufundisha maeneo ya vijijini. Hayo yamesemwa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Mbeya Maghela Ndimbo, wakati akitoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu taarifa ya utekelezaji ya muda wa miezi mitatu wa taasisi hiyo.