RAIA MWEMA 30.07.2022

RAIA MWEMA 30.07.2022

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Sahil Geraruma ametilia shaka mradi wa kwanza wa madarasa ya Mwakata uliojengwa kwa nguvu za wananchi baada ya kubaini baadhi ya madarasa hayo yana nyufa. “Mimi nawaagiza kutokana na hayo niliyoyaona, njooni kwa muda wenu mrekebishe upungufu huo kwani wananchi wanapotoa nguvu zao katika ujenzi, lazima tuwape moyo ikiwa ni pamoja kujenga kitu chenye ubora” alisema Geraruma. Geraruma aliyasema hayo jana baada ya kuzindua vyumba viwili vya madarasa katika shule ya sekondari…

Read More Read More