TUNAELIMISHA KUTOKA IRINGA

TUNAELIMISHA KUTOKA IRINGA

“…Wananchi mnao wajibu wa kuunga mkono juhudi za TAKUKURU katika kuzuia vitendo vya rushwa kwa kutoa taarifa pale mnapobaini uwepo wa vitendo hivyo, ili hatua za kisheria zichukuliwe… ” Ditram Mhoma Afisa wa TAKUKURU Mkoa wa Iringa (aliyesimama), akiwaelimisha Wananchi wa Kata ya Kihesa Manispaa ya Iringa, Septemba 28, 2022

TAKUKURU YAANZA KUANDAA MKAKATI WA HABARI, ELIMU NA MAWASILIANO

TAKUKURU YAANZA KUANDAA MKAKATI WA HABARI, ELIMU NA MAWASILIANO

“…Wananchi wanastahili kufahamu kwa wakati, ni nini Serikali yao inafanya. Aidha, inapotokea sintofahamu kwenye Taasisi yoyote ile ni muhimu wananchi wakajulishwa kilichotokea na ni nini kitafanyika kuimaliza sintofahamu hiyo…” amesema Zamaradi Kawawa, Mkurugenzi Msaidizi, Idara ya Habari (MAELEZO), aliyesimama wakati akiiwezesha Kamati ya TAKUKURU iliyoundwa kuandaa Mkakati wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa TAKUKURU, Septemba 28, 2022

TUNAELIMISHA KUTOKA IRINGA

TUNAELIMISHA KUTOKA IRINGA

“…Wananchi mna jukumu la kuzuia rushwa kwa kusimamia utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika maeneo yenu, kwa kutoa taarifa TAKUKURU pale mnapobaini kuna ubadhirifu…” Ditram Mhoma, Afisa wa TAKUKURU Iringa, akiwaelimisha wananchi wa Mtaa wa Mshindo A, Manispaa ya Iringa, ,Septemba 26, 2022,.