KLABU YA WAPINGA RUSHWA RORYA – MARA

KLABU YA WAPINGA RUSHWA RORYA – MARA


“…Kuzuia na Kupambana na Rushwa katika jamii ni jukumu la kila mmoja wetu, hivyo tutakuwa mstari wa mbele kuhakikisha tunajielimisha sisi wenyewe jinsi ya kuzuia rushwa na kufikisha elimu hii kwa wengine. Tutakuwa tayari pia kutoa taarifa za vitendo vya rushwa TAKUKURU..”
Freddy Okoth – Mwanaklabu wa Shule ya Sekondari Buturi. Septemba 21, 2022

Comments are closed.