MAFUNZO YA WELEDI

MAFUNZO YA WELEDI

Hii ni picha ya pamoja ya Wakufunzi na Washiriki wa mafunzo ya ‘Financial Investigation in Public Procurement’ yaliyofanyika Septemba 19 – 23, 2022. Mafunzo haya ya siku tano yamefanyika jijini Dar es Salaam na yamehusisha Wachunguzi kutoka Mikoa ya Ilala, Kinondoni, Temeke, Mbeya, Pwani, Tanga pamoja na Dodoma. Aidha yamehusisha washiriki kutoka ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Serikali pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Comments are closed.