MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA H/W BUSOKELO – MBEYA

MBIO ZA MWENGE WA UHURU KITAIFA H/W BUSOKELO – MBEYA

“…Ninyi ndio Mabalozi katika mapambano dhidi ya Rushwa. Hakikisheni mnakuwa na uelewa mpana wa dhana nzima ya mapambano dhidi ya rushwa nchini ili muweze kutoa elimu kwa wenzenu na kwa kujiamini…” Hayo yamesemwa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Bw. Sahili Nyanzabara Geraruma, alipokuwa akikagua banda la Klabu ya Wapinga Rushwa Shule ya Sekondari Lwangwa katika eneo la Mkesha wa Mwenge Septemba 12, 2022

Comments are closed.