TUNAELIMISHA KUTOKA MALINYI, MOROGORO

TUNAELIMISHA KUTOKA MALINYI, MOROGORO

“…Ahadi namba 4 ya Mwana CCM inasema, Rushwa ni Adui wa Haki, sitatoa wala kupokea Rushwa… hivyo mnalo jukumu kubwa la kuzuia rushwa kama ahadi hii inavyosema. Vilevile Ilani ya Uchaguzi ya CCM inaelekeza kuhakikisha Utawala Bora unaimarika kwa kuondoa Rushwa. Serikali imeipa TAKUKURU dhamana ya kushughulikia Rushwa lakini nyie mna wajibu wa kuzingatia ahadi Na. 4 na Ilani ya Uchaguzi ya CCM…”. Sikujua Kimweri, Mkuu wa TAKUKURU (W) Malinyi akiwaelimisha vijana wa CCM kabla ya uchaguzi wa Viongozi wao ngazi ya Wilaya, Septemba 23, 2022.

Comments are closed.