JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

UELIMISHAJI KUPITIA REDIO NA TELEVISHENI

Kurugenzi ya Elimu kwa Umma hutumia njia mbalimbali kuelimisha umma kuhusu mapambano dhidi ya rushwa. Mojawapo ya njia inayotumika ni kuaandaa vipindi vya redio na televisheni ambavyo hurushwa kwenye vituo mbalimbali nchini. Lengo la vipindi hivyo ni kuelimisha na kuhamasisha jamii ishiriki katika mapambano dhidi ya rushwa.

Vipindi vya redio na televisheni vinavyoandaliwa na Kurugenzi ya Elimu kwa Umma huwalenga makundi yote katika jamii kwa kuwa tatizo la rushwa linamgusa kila mmoja. Mada zinazotolewa huwashirikisha wadau mbalimbali katika mapambano haya. Hivyo, hutoa fursa kwa jamii kuelimika.

MAPENDEKEZO YA MADA ZA VIPINDI MUHULA WA JANUARI – JUNI 2021

KITUO: TBC TAIFA

MUDA: 9:45 – 10:00 ALASIRI

                                   NAMBA YA  KIPINDI

TAREHE YA KUTANGA-ZWA

MADA

MAELEZO

WAHUSIKA

11/2020/21

7.1.2021

Mwelekeo wa Mapambano dhidi ya Rushwa 2021-2025

 • Mafanikio ya mapambano dhidi ya rushwa kwa mwaka 2020 kitaifa na kimataifa
 • Madhara ya rushwa kijamii, kiuchumi na kisiasa
 • Serikali ilivyojipanga kukabili rushwa 2021 – 2025

-          Nukuu ya hotuba ya Rais akizindua Bunge la 12

-          Maelezo mafupi ya DG jinsi TAKUKURU ilivyojipanga kushirikiana na wadau kuongeza kasi ya mapambano dhidi ya rushwa

Voice over ya Rais wa JMT,

 

DG -TAKUKURU

12/2020/21

14.1.2021

Juhudi za TAKUKURU Kudhibiti Rushwa kwenye Manunuzi ya Umma

 • Tatizo la rushwa kwenye manunuzi hali ipoje nchini
 • Tafiti zinasemaje kuhusu rushwa kwenye manunuzi
 • TAKUKURU imefanyaje kuzuia tatizo la rushwa kwenye manunuzi

-          Mwongozo wa uzuiaji rushwa kwenye manunuzi ya umma

-          Sehemu za hotuba ya DCP na Tixon Nzunda kwenye warsha ya kuzindua mwongozo huo

DCP

13/2020/21

4.2.2021

TAKUKURU na WADAU katika Mapambano dhidi ya Rushwa - I

 • Maelezo mafupi kutoka kwa DCE kuhusu ushirikiano wanaopata kutoka kwa wadau
 • Ushirikiano baina ya TAKUKURU na WADAU
 • Baadhi ya wadau wanaoshirikiana na TAKUKURU (SIKIKA, SKAUTI, KAS)

DCE

 

WADAU

 

 

 

 

 

14/2020/21

11.2.2021

TAKUKURU na WADAU katika Mapambano dhidi ya Rushwa - II

 • Ushirikiano huo upo katika maeneo gani ya kupambana na rushwa
 • Manufaa ya ushirikano huu – Success stories.
 • Umuhimu wa ushirikiano katika mapambano dhidi ya rushwa

DCE

 

WADAU

 

15/2020/21

4.3.2021

Ushiriki wa Wanawake katika Mapambano dhidi ya Rushwa

·         Jitihada zinazofanywa na mwanamke kwenye mapambano dhidi ya rushwa

·         Changamoto za rushwa zinazomkabili mwanamke

·         Namna anavyozikabili

·         Namna wanavyoshiriki mapambano dhidi ya rushwa

WLAC

 

TAMWA

 

WFT

16/2020/21

11.3.2021

Mapambano dhidi ya Rushwa katika Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

·         Umuhimu wa miradi ya maendeleo – “Value for money”

·         Sababu za TAKUKURU kufuatilia miradi

·         Hatua zinazochukuliwa na TAKUKURU kuhakikisha miradi inatekelezwa ipasanyo

·         Mifano ya miradi iliyoshuhulikiwa na hatua iliyofikiwa

·         Ushiriki wa mawananchi katika kusimamia miradi ya maendeleo

DCP

17/2020/21

1.4.2021

Vitendo vya Rushwa Barabarani - I

 • Sehemu ya igizo la Kingo linaloeleza athari za vitendo vya rushwa barabarani.
 • Maelezo na maoni ya muandaaji wa igizo kuhusu igizo hilo
 • Maoni ya watumia barabara kuhusu rushwa barabarani

Sehemu ya igizo

 

Bw. James Gayo

 

Watumiaji wa Barabara

18/2020/21

8.4.2021

Vitendo vya Rushwa Barabarani - II

·         Jitihada za TAKUKURU na Jeshi la Polisi kudhibiti rushwa barabarani

·         Umuhimu wa ushiriki wa wadau wa barabara katika kudhibiti rushwa barabarani

HLC na SP Sokoni

19/2020/21

6.5.2021

Juhudi zinazofanywa Kudhibiti Rushwa ya Ngono kwa Wanafunzi / Wanavyuo - I

·         Rushwa ya ngono ni nini

·         Madhara ya rushwa ya ngono vyuoni (au katika elimu)

·         Sababu za kuwepo rushwa ya ngono vyuoni (as per utafiti) i.e utafiti uongelewe kwenye maelezo, ili kama kuna juhudi zaidi ya utafiti, zirejewe pia.

·         Nini kinafanyika kuondoa vitendo vya rushwa ya ngono katika elimu – mifano ya juhudi zinazofanywa na UDSM na UDOM

 

DCP,

 

DKT. Lulu (UDSM)

 

Dkt. Msuya (UDOM) 

 

Mwakilishi kutoka Chuo cha St. John, Dodoma

20/2020/21

13.5.2021

Juhudi zinazofanywa Kudhibiti Rushwa ya Ngono kwa Wanafunzi / Wanavyuo - II

·         Maoni ya wanafunzi kuhusu tatizo la rushwa ya ngono

·         Jitihada wanazofanya kudhibiti

Wanafunzi

21/2020/21

3.6.2021

Athari za Mikopo isiyo Rasmi - I

 

 

 

 • Mikopo umiza ni ipi (Ieleza sababu za TAKUKURU kuingilia kati)
 • Je taratibu za ukopeshaji zikoje

-          Riba kubwa

-          Dhamana za ukopeshaji (Kadi za benki, hati za nyumba)

Inserts za DG.

 

 DLS,

 

RBCs 

 

Wanufaika

22/2020/21

10.6.2021

Athari za Mikopo isiyo Rasmi - II

 

 • Mamlaka ya kurejesha mali hizi, TAKUKURU inatoa wapi?
 • Faida za jitihada hizi kwa jamii

-          Maelezo ya waathirika wa mikopo na namna TAKUKURU ilivyowasaidia

 • Wito

DLS,

 

RBCs

 

Wanufaika