JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

CHUO KIKUU CHA IRINGA KIMEMTUNUKU MKURUGENZI MKUU TAKUKURU TUZO

Chuo Kikuu cha Iringa, kimemtunuku Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brig. Jen. John Mbungo TUZO YA MLIMA KILIMANJARO kwa heshima ya kuendesha uchunguzi katika chuo hicho uliodhibiti vitendo vya rushwa.

Baada ya kupokea TUZO hiyo, Mkurugenzi Mkuu aliushukuru uongozi wa chuo na kusema kuwa TAKUKURU haina mipaka na itahakikisha kuwa inaendelea kutekeleza wajibu wake na kuhakikisha kuwa kero ya Rushwa inadhibitiwa katika sekta zote nchini.