JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA KUZUIA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI ZANZIBAR ATEMBELEA TAKUKURU

 

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU, Meja Jenerali John Mbungo, leo Mei 11, 2021, amepokea ugeni wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar – ZAECA, ACP Ahmed Khamis Makarani. Soma zaidi.