JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU KAMISHNA WA POLISI SALUM RASHID HAMDUNI AKABIDHIWA OFISI RASMI

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa – TAKUKURU Meja Jenerali John Julius Mbungo, Ijumaa Mei 21, 2021 amekabidhi rasmi ofisi kwa Mkurugenzi Mkuu mpya wa TAKUKURU, Kamishna wa Polisi Salum Rashid Hamduni.

Taarifa kwa umma.