JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

MKURUGENZI MKUU WA MASHITAKA ATEMBELEA TAKUKURU

Tarehe 27 Mei, 2021 Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni amempokea Mkurugenzi wa Mashitaka Bw. Sylvester Anthony Mwakitalu aliyefika TAKUKURU Makao Makuu Dodoma kwa lengo la kujitambulisha. Pamoja nao ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bi. Neema Mwakalyelye na Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka Joseph Pande.