JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

ZIARA BUNGENI

Katika picha ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene (wa pili kutoka kushoto) akifurahia jambo akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Hamduni (wa pili kulia) akiwa pamoja na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bi. Neema Mwakalyelye (kushoto). Pamoja nao ni Mkurugenzi wa Huduma za Sheria TAKUKURU Bw. George Barasa (Kulia) wakiwa nje ya ukumbi wa Bunge mara baada ya kutembelea na kutambulishwa rasmi Bungeni asubuhi ya Juni 1, 2021.