JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

ZIARA BUNGENI

Pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU CP. Salum Hamduni akiwa pamoja na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Bi. Neema Mwakalyelye na Mkurugenzi wa Huduma za Sheria TAKUKURU Bw. George Barasa, wakiwa katika ofisi ya Mheshimiwa Job Ndugai, Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Juni 1, 2021.