JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

VIRTUAL COMMONWEALTH REGIONAL CONFERENCE FOR ANTI-CORRUPTION AGENCIES IN AFRICA

Juni 23, 2021, Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Rashid Hamduni ameshiriki mkutano wa Commonwealth wa Mamlaka za Kuzuia na Kupambana na Rushwa.
Mkutano huu ambao umefanyika kwa njia ya mtandao kuanzia Juni 21 – 24, 2021 ulikuwa na Kauli Mbiu isemayo “Assessing Asset Recovery Efforts and Return in Africa” ambapo Mkurugenzi Mkuu amewasilisha mada iliyosema TANZANIA’s EFFORTS IN ASSET RECOVERY.