JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

WAGENI KUTOKA FCDO

Septemba 15, 2021 Mkurugenzi Mkuu alipokea ugeni kutoka Shirika la Maendeleo la Jumuiya ya Madola(Foreign Commonwealth and Development Office – FCDO) iliyopo chini ya Ubalozi wa Uingereza nchini. Shirika hili hapo awali lilijulikana kama DfID limekuwa mdau wa maendeleo nchini Tanzania hasa katika kuunga mkono mapambano dhidi ya rushwa na utawala bora kupitia mradi wa Building Sustainable Anti Corruption Action in Tanzania – BSAAT.

Katika Picha ni Mkurugenzi Mkuu, Wakurugenzi wa TAKUKURU, wageni kutoka FCDO, Ubalozi wa Uingereza na Mratibu wa BSAAT.