JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

Uzinduzi wa Jengo la TAKUKURU Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma

Mheshimiwa Dkt John Pombe Joseph Magufuli – Rais wa Jamhuri wa Muungano ya Tanzania amezindua jengo la TAKUKURU Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Julai 22, 2020.Mwenyeji wa tukio hili la kihistoria alikuwa ni Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Brig. Jenerali John Julius Mbungo pamoja na viongozi na watumishi mbalimbali wa TAKUKURU na Serikali kwa ujumla. MAELEZO YA DG WAKATI WA UZINDUZI