JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

Uelimishaji – Redio na TV

UELIMISHAJI KUPITIA REDIO NA TELEVISHENI

Kurugenzi ya Elimu kwa Umma hutumia njia mbalimbali kuelimisha umma kuhusu mapambano dhidi ya rushwa. Mojawapo ya njia inayotumika ni kuaandaa vipindi vya redio na televisheni ambavyo hurushwa kwenye vituo mbalimbali nchini. Lengo la vipindi hivyo ni kuelimisha na kuhamasisha jamii ishiriki katika mapambano dhidi ya rushwa.

Vipindi vya redio na televisheni vinavyoandaliwa na Kurugenzi ya Elimu kwa Umma huwalenga makundi yote katika jamii kwa kuwa tatizo la rushwa linamgusa kila mmoja. Mada zinazotolewa huwashirikisha wadau mbalimbali katika mapambano haya. Hivyo, hutoa fursa kwa jamii kuelimika.

MADA ZA KIPINDI RUSHWA ADUI WA HAKI MUHULA WA JULAI – DESEMBA 2019

KITUO: TBC TAIFA

MUDA: 9:45 – 10:00 ALASIRI

TAREHE YA KUTANGAZWA

MADA

MAELEZO

WAHUSIKA

4.7.2019

Siku ya Kuzuia Rushwa Afrika - I

·         Chimbuko la maadhimisho ya siku hii

·         Lengo la kuadhimisha kibara (Africa)

·         Totauti ya maadhimisho haya na   yale yanayoadhimishwa Disemba 10

DRC NA MRATIBU WA MAADHIMISHO

11.7.2019

 

Siku ya Kuzuia Rushwa Afrika - II

 • Maadhimisho yatakuwaje?
 • Kaulimbiu ya siku hii inasemaje
 • Manufaa ya kuadhimisha siku hii

DRC NA MRATIBU WA MAADHIMISHO

1.8.2019

 

Chagua Kiongozi Bora: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa - I

·         Maana ya uchaguzi

·         Kwa nini uchaguzi

·         Viongozi gani wanaochaguliwa kwenye uchaguzi huu

·         Sifa za mpiga kura

·         Kanuni za uchaguzi

TAMISEMI

8.8.2019

Chagua Kiongozi Bora: Uchaguzi wa Serikali za Mitaa – II

 

 • Makatazo wakati wa kampeni na uchaguzi
 • Sheria zinazosimamia uchaguzi na makatazo ya uchaguzi

·         Vitendo vya rushwa kabla ya wakati wa kampeni

 • Vitendo vya rushwa wakati wa kampeni

·         Vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi

 • Nafasi za wadau kwenye uchaguzi

TAMISEMI

5.9.2019

Udhibiti wa Vitendo vya Rushwa kwenye Uchaguzi: Wajibu wa Wadau ni Upi?

·         Vitendo vya rushwa kwenye uchaguzi

·         Sheria zinazosimamia uchaguzi

·         Namna ya kudhibiti vitendo vya rushwa kwenye uchaguzi

DRC, DLS na WADAU 2 (VYAMA VYA SIASA, TAMISEMI na Amani Group – Sadick Godi Godi)

 

 

12.9.2019

Udhibiti wa Vitendo vya Rushwa kwenye Uchaguzi: Wajibu wa Wadau ni Upi?

·         Wajibu wa wadau katika kudhibiti vitendo vya rushwa kwenye uchaguzi

·         Madhara ya vitendo vya rushwa kwenye uchaguzi

·         Umuhimu wa ushiriki wa wadau kudhibiti rushwa

DRC na WADAU 2 (VYAMA VYA SIASA NA TAMISEMI)

 

3.10.2019

Chagua kiongozi Bora

·         Sifa za kiongozi bora ni zipi

·         Wajibu wa kiongozi

·         Je, wananchi watamtambuaje kiongozi bora?

·         Nani mwenye wajibu wa kuchagua kiongozi bora

·         Faida za kuchagua kiongozi bora

·         Mchango wa Uongozi Institute katika kuandaa viongozi bora

UONGOZI INSTITUTE

10.10.2019

Thamani ya Kura yako

 • Kura ni nini
 • Thamani ya kura ni ipi
 • Namna rushwa inavyoweza kuondoa thamani ya kura

DCE

7.11.2019

Ushiriki wa TAKUKURU kwenye Mbio za Mwenge wa Uhuru

 • Maadhimisho ya mbio za mwenge mwaka 2019
 • Namna TAKUKURU ilivyotumia Mwenge kuelimisha kuhusu rushwa
 • Maswali na maoni ya wananchi walishiriki kwenye uelimishaji

MRATIBU WA UELIMISHAJI NA WANANCHI

14.11.2019

Rushwa na Uhujumu Uchumi

 • Maana ya uhujumu uchumi
 • Namna rushwa inavyochangia uhujumu nchini
 • Adhabu za makosa haya kwa mujibu wa sheria

MKURUGENZI WA SHERIA WA TAKUKURU

5.12.2019

Ufuatiliaji na Urejeshaji Mali Zilizopatikana kwa Rushwa - I

 • Sheria inasemaje kuhusu mali zilizopatikana kwa rushwa
 • Taratibu zinazopaswa kufuatwa kurudisha mali iliyochukuliwa serikali kinyume na taratibu
 • Sababu za kufuatilia na kurejesha mali zilizopatikana kwa rushwa

MKUU WA KITENGO CHA UFUATILIAJI NA UREJESHAJI MALI ZILIZOPATIKANA KWA RUSHWA

12.12.2019

Ufuatiliaji na Urejeshaji Mali Zilizopatikana kwa Rushwa - II

 • Kwa mwaka 2019 TAKUKURU imerudisha mali zipi Serikalini kutokana na kesi zilizokamilika mahakamani kwa washtakiwa kutiwa hatiani
 • Kesi ngapi 2019 ambazo TAKUKURU iliomba kutaifishwa kwa mali za washtakiwa
 • Jamii inajifunza nini kwa watuhumiwa kutaifishiwa mali zao
 • Mifano ya watu waliochukuliwa hatua za kutaifishiwa mali

MKUU WA KITENGO CHA UFUATILIAJI NA UREJESHAJI MALI ZILIZOPATIKANA KWA RUSHWA