Mkurugenzi Mkuu mpya wa TAKUKURU, Kamishina wa Polisi Diwani Athuman Msuya akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr John Pombe Magufuli tarehe 12 Septemba, 2018 kwenye viwanja vya Ikulu Chamwino, Jijini Dodoma