JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

VIONGOZI WA BOT WATEMBELEA TAKUKURU

 

Viongozi wa Benki Kuu Tawi la Dodoma wametembelea ofisi za TAKUKURU Makao Makuu – Dodoma Juni 18, 2021. Ziara hii imefanyika kama sehemu ya Benki Kuu kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma 2021, ambapo wanatembelea wateja wao na kusikiliza maoni juu ya utendaji wao.