JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2021: DG ATEMBELEA WAGONJWA HOSPITALI YA BUHIGWE

Leo Juni 18, 2021 Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Rashid Hamduni ametembelea wagonjwa katika hospitali ya Buhigwe iliyopo  Wilaya ya Buhigwe, Mkoani Kigoma.

Ziara hii ni katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma ambapo pamoja na kuzungumza na wagonjwa ametoa zawadi mbalimbali pamoja na kuotesha mti wa kumbukumbu ya mapambano dhidi ya rushwa.