JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

MIANYA YA RUSHWA KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ilifanya utafiti kwa lengo la kutoa ushauri kwa Mamlaka zinazohusika juu ya namna bora ya kudhibiti vitendo vya rushwa katika Chaguzi nchini. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni: (i) Kubaini mianya ya rushwa katika mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014; (ii) Kutathmini uelewa wa wananchi kuhusu haki na wajibu wao katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa; (iii) Kuainisha vitendo vya rushwa vilivyojitokeza katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2014; na (iv) Kushauri namna ya kuziba mianya ya rushwa itakayobainika katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Soma Zaidi