JIVUNIE UNAPOSEMA ‘SIRUBUNIKI KWA RUSHWA.’

 

 

Sidebar

Udhibiti Wa Bidhaa Bandia: Utafiti Kifani Wa Chumvi Yenye Madini Joto

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ilifanya utafiti huu kwa lengo la kutoa ushauri wa namna bora ya kuimarisha mfumo wa usimamizi (monitoring) na utekelezaji wa sheria na kanuni za chumvi yenye madini joto kwa mamlaka zinazohusika katika mpango wa kuchanganya madini joto katika chumvi kwa matumizi ya binadamu na wanyama. Bonyeza Kusoma Zaidi.